WANANCHI TV AD ENGINE
DPromo Logo
DPROMO ADMEDIA GROUP
We Grow Institutions
Serikali β€’ Taasisi β€’ Brands β€” tunakua pamoja

DPROMO ADMEDIA GROUP β€” We Grow Institutions.

Tunahudumia Serikali & Mashirika, Taasisi Binafsi na Brands na wajasiriamali β€” tunatambua wateja wenye nia ya kununua kwenye Facebook na Instagram na kuingiza moja kwa moja kwenye WhatsApp yako, ukiwa na Live Tracking ID ya kufuatilia matokeo mtandaoni kwa uwazi wa 100%.

Direct WhatsApp
100% Live Tracking
Saa 24 Uhakiki
DPromo DPromo Live Ad Engine
● LIVE HEWANI
DP

Biashara Yako (Mteja wa DPromo)

Sponsored Β· Paid for by DPromo

"Pata bidhaa na huduma bora zenye punguzo la bei! Wateja Dar es Salaam na mikoani, bonyeza 'Send WhatsApp' kuweka oda yako sasa."
Walioona β€”
Mionekano β€”
Wateja WA β€”
Send WhatsApp Message
wateja huingia hapa
Ufuatiliaji Live: Kagua mtandaoni β†’
KUHUSU SISI

Sisi ni Nani & Tunakusaidiaje Kukuza Mauzo Yako?

DPROMO ADMEDIA GROUP (DPromo) ni kituo cha kisasa cha urushaji matangazo ya Meta (Facebook & Instagram) kilichoundwa kuwasaidia wamiliki wa biashara, wajasiriamali na taasisi nchini Tanzania kupata wateja halisi wanaobofya na kuingia moja kwa moja kwenye WhatsApp yao.

Utaalamu wa Meta Ads

Hutahitaji kuhangaika na mipangilio migumu ya Ads Manager. Tunatumia algorithms za hali ya juu kulenga watu wenye nia ya kununua bidhaa zako Dar es Salaam na mikoa yote ya Tanzania.

Wateja wa Moja kwa Moja WhatsApp

Mteja anapogusa tangazo lako kwenye Instagram au Facebook, anafungua mazungumzo mara moja kwenye namba yako rasmi ya WhatsApp β€” hakuna madalali wala makato ya siri.

Uwazi wa 100% & Live Tracking

Kila tangazo linalorushwa linazalisha Tracking ID ya kipekee. Unaweza kuingiza namba yako wakati wowote na kuona idadi halisi ya watu walioona, mionekano, na mibofyo.

TV

Inaendeshwa na Wananchi TV Digital

Mshirika wako wa kuaminika wa matangazo ya kidijitali na ukuaji wa biashara Tanzania.

Sehemu 3 β€” Wateja Wetu

DPROMO ADMEDIA GROUP β€” We Grow Institutions

Tumejenga geo-targeting maalum na vifurushi kwa kila kundi: Serikali & Mashirika, Taasisi Binafsi na Brands, na wajasiriamali wa mitaa 36.

Serikali & Mashirika πŸ›οΈ

Wizara, Mamlaka & Mashirika ya Umma

Tunawafikia watumishi wa umma, maofisa na viongozi kwenye maeneo ya serikali kwa radius 2km:

Kurasini Govt City Β· 2km Mtumba Dodoma Β· 2km Wizara Dodoma Β· 2km
  • βœ“ Barua ya Proposal (PDF) na msaada wa LPO
  • βœ“ Invoice rasmi (VAT 18%) na namba ya invoice
  • βœ“ Ripoti rasmi ya matumizi ya fedha kila mwezi
Tazama Kifurushi cha Serikali β†’
Inapendekezwa
Taasisi Binafsi na Brands 🏒

Benki, Hoteli, Vyuo & Chapa

Kulenga watumiaji wenye kipato cha juu na wafanya maamuzi kwenye maeneo ya matajiri kwa radius 2km:

Masaki Β· 2km Oysterbay Β· 2km Upanga Β· 2km Mikocheni Β· 2km
  • βœ“ DPROMO Lite β€” TSh 300,000 / mwezi (Brands)
  • βœ“ DPROMO Corporate β€” TSh 1,500,000 / mwezi (Taasisi)
  • βœ“ Ripoti ya wiki, dashboard na timu maalum
Tazama Vifurushi vya Taasisi β†’
Wajasiriamali & Biashara Ndogo πŸ›’

Mitaa 36 Tanzania Nzima

Sinza, Kariakoo, Ubungo, Njiro, Mbezi na mitaa mingine 30 β€” kwa bei nafuu na matokeo ya haraka.

Mitaa 36 TSh 30,000 β€” 300,000 Siku 3 β€” 30
  • βœ“ Tangazo la Meta + WhatsApp moja kwa moja
  • βœ“ Live Tracking ID ya kufuatilia matokeo
  • βœ“ Uwasilishaji ndani ya saa 2–6
Tazama Vifurushi vya Siku β†’
Bei za Kitaasisi β€” Kila Mwezi

Vifurushi vya Kitaasisi

Kila kifurushi kinatengenezwa PDF yake (kinachotajwa kimoja kimoja) β€” pamoja na invoice rasmi na barua ya proposal kwa serikali.

KIKOKOTOO CHAKO

Makadirio ya Siku & Wateja

Gharama Halisi TSh 50,000
Muda wa Tangazo Kuruka: Siku 5
Siku 1 Siku 7 Siku 14 Siku 30
Kasi ya Tangazo:
Matokeo Yaliyokadiriwa:
Watazamaji 8k - 18k
Wateja WA 30 - 65
BEI WAZI ZA DPROMO

Vifurushi vya Uhakika vya Matangazo

Gharama zote zinajumuisha bajeti ya Meta, hadhira maalum, na Live Tracking ID.

Siku 3

Starter

30,000/= kwa siku 3
4.5k - 10k Watazamaji
15 - 35 Wateja WA
Live Tracking ID
MAARUFU
Siku 5

Growth Pro

50,000/= kwa siku 5 kamili
8k - 18k Watazamaji
30 - 65 Wateja WA
Mikoa Maalum
Uhakiki wa Saa 24
Siku 7

Weekly Pro

70,000/= kwa wiki 1
12k - 28k Watazamaji
45 - 95 Wateja WA
Tanzania Nzima
Siku 14

Bi-Weekly

120,000/= kwa wiki 2
25k - 55k Watazamaji
90 - 180 Wateja WA
Siku 30

Monthly Elite

300,000/= kwa mwezi 1
65k - 150k+ Watu
220 - 450+ Wateja WA
LIVE TRACKING PORTAL

Una Tangazo Linaloruka Hewani?

Fuatilia idadi ya wateja waliofikiwa (Reach), mionekano (Impressions), na waliogusa WhatsApp moja kwa moja kupitia ukurasa rasmi wa Live Tracking.